"Mliita sisi hasora, sasa mnaita sisi Mungiki" - mahasora complain,sad

1 Like

:joy: :joy: :joy: :joy: Penda sana.

Kuna mungich niliskia akisema Ruto atamaliza corruption, atalainisha nchi visawasawa na eti watu wanamuogopa sana. Yeye ndio kiongos Kenya inataka.

Nilishangaa sana bado Kuna watu wanaamini Ruto will change their lives. Iwe fiti. Tangu lini?

Nikamsho atangoja sana.

Mungich ikanijibu “apatiwe time atabadilisha nchi iwe na pesa”. Ata maliza umaskini.

Nikamsho heri baba Sahi tungekuwa tuna hesabu masiku six k ingie kwa mpesa tuharibu jina kwa bar. Lakini hatuna hasara kama wana azimio. We voted wisely.

Mungich ikanijibu heri akufe lakini akuna vile angepigia Baba kura. Nikafurahi sana alipodai Baba Sahi ndio anaweza pigania wanyonge. Nikamsho aparare na huko…Baba has played his part. Ni wakenya wajipiganie. Sahi Wacha wakaskie.

The type of idiot that got us into this by actually believing campaign promises and voting for the criminals