Mliambiwa unga inangoja elections

Elections zimekatika na unga na bei ya bidhaa kwa jumla zimepanda. Gharama ya maisha itazidi kupanda huku tukiendelea kulipa deni ya Wachina ambayo muda si muda itatutia mashakani kama nchi. Kidogo naye Raila ataapishwa kama Rais wa wananchi na nchi itakuwa na mitafaruku zaidi na uchumi utazidi kudorora huku sisi tukiendelea kupigana vita vya kikabila. Msiseme sikuwaeleza.

Hayo kando tuzidi kujamiiana pasi na kujali tofauti zetu mbalimbali.

Wewe ni mutharaka ?

Yani mwanaume mzima analia bei ya unga? Kwani haujui kutafuta pesa? Bei ikiongezwa pia wewe unaongeza bidii, blad shenzi!

how na NCPB imejaa mahindi.saa hizi hawachukui from farmers

Me 2, I’m wondering about the same thing. B t, I’m afraid that it’s going to happen.

Enda uto…