Mkurugenzi NHC, Nehemia Mchechu atenguliwa na Waziri wa ardhi.

Waziri wa ardhi Mheshimiwa Lukuvi amemtengua Mkurugenzi wa NHC…

Huyu jamaa inasemekana alikuwa ana kampuni zake kibao ndani ya shirika, hivyo tenda nyingi alikuwa anajipigia pasi…

Halafu hata jiwe alikuwa na kinyongo nae, ila sijui kwa nini.

Chukua Chako Mapema

je kama kampuni zilikidhi vigezo vya kupewa tenda kuna makosa?

au sheria za utumishi wa umma zinakataza mtumishi kumiliki kampuni za kibiashara?

kama hakuwa anafuata taratibu za utoaje tenda ni halali atumbuliwe

soon utasikia kashtakiwa kwa kuhujumu uchumi,kutumia ofisi na pesa ya umma kwa matumizi yake binafsi…yajayo yanasikitisha

Yajayo yanasikitisha sana

hizi drama za tengua-teua kwa sasa wala hazinishtui.nimeshazizoea.

Tanzania ya viwonder

Kuna kitu inaitwa conflict of interest… Hii haijalishi km kampuni yako au ya ndugu inauwezo, imepata tenda kihalali kwa kufuata sheria na taratibu zote, kule kuwa na uhusiano nayo tu ni kosa hata kama haijatenda kosa.

Ile kauli ya matajiri wataishi kama mashetani ililengwa kwa Msechu. Jiwe lilimind mshahara wake kabla hata halijawa mtukufu.

Kupiga wapige wao wakipiga wenzao eti wapigaji wapi 1.5trl

!
!
Sawa. Sisiem Waliteua Sisiemu Wametengua. Jina La Mtukufu Magu Lisujudiwe

Basi sawa

Kick zimegoma kukick

Ana roho ya KAZOPATA!

Misjiu, yaani sielewi kabisa nchi yangu inaelekea wapi wallah…

Mchechu najua alisimamishwa katika mradi uliokuwa pale dodoma iyumbu mpaka hapo kulikuwa na kimya sana juu yake na uchunguzi zaidi sasa sishangai kuskia hvyo.

[MEDIA=twitter]1009478398102654978[/MEDIA]

Sawa ni katika kuwajibishana ili tuiletee maendeleo ya kweli Tanzania yetu…

Before Mchechu NHC lilikuwa shirika MAITI KIKWETE akamuona yule kijana, Kipindi akiwa MD&CEO wa CBA BANK Alikuwa ndio CEO mdogo katika sekta ya kibenki Tanzania na East Africa. Na kweli Kikwete alicheza Kama PELE Maana Bw Mdogo alivyokuwa na uwezo wa Kumobilize Wadau Na Kugenerate Fund Maiti alifufuka baada ya Muda mfupi Instead of Magofu sasa tukaanza kuona nyumba mpya.

Kijana aliendelea kuonyesha uwezo wake he was very smart na ndani muda mfupi tuona majengo ya NHC kila kona ya Nchi na kila mtu akawa anamsifia kwa kazi kubwa aliyofanya ndani ya muda mfupi.

Lakini bahati mbaya sana akaingia mzee wa kuharibu, mzee misifa, mzee kidevu, mzee wa rula. Unaondoa wafanyakazi wenye uwezo mkubwa kama huyu unategemea nini Shirika hili liwe na MAGOFU TENA, Tatizo hapo sio LUKUVI, Lukuvi na elimu yake ya kuunga kama mabehewa ya Kigoma alikuwa nae tangu kipindi cha KIKWETE hatukuyaona haya ila kaingia Mr Kiburi Na Mwenye Wivu na Watu Smart Wanaopinga Mipunga Yao Kihalali anaamua kuwaondoa. Tegemeeni Magofu ya NHC kuanzia sasa

Hmm!..