Hawa ndio wale waliuzia dem flani iPhone 12 ile faulty na wakakataa kutengeza ama kureplace until ikafikia shosho mindia ndio wakaanza kujifanya hawakuwa wameelewa shida?!
Lakini mbona ununue iPhone used si utumie Tecno Na Infinix
Hao ndio wanaelewa kenye wanataka. Mimi nikipata kwenye naweza nunua iPhone legit ile mpya, I go for 13 pro max 256gb bila uoga.
Any idea kwenye naweza nunua new and legit apple products hapa Nairobi?
Si ununue tu Swappa and you save a tonne of money. Ama wewe ni billionaire lazima ufungue karatasi.
KRA is typing and deleting…
Nimenotice iPhone wametarget corporate bros / girl bosses
The colors are very nuetral
Anyway kama CBK Governor is worth 2 billion 300 k is penis to the man
Just import.
Preorder itafika after 3 months or more because every influencer worlwide will want to own this phone. Itakuwa kama ile upuss ya PS5 hoarding and scalping to make a killing. Hii usishtuke ikifika +300K for the first holders huku vumbistan.
Definately not worth it.
Usikuje kuimba yangu
kama wewe sio content creator ama flossing mwazafwaka, this insane flagship is not for you.
Is this a ‘collector’s item’? Will it triple in value after 3 years? Will it become an antique after, say, 30 years?