Mke kudai mke mwenza.

[ATTACH=full]410345[/ATTACH]
Assalaam Alaykum, nichukue nafasi hii kumpongeza Mume wangu kwa kuongeza mke wa pili. Kwa kuwa dini yetu ya Kiislam inaruhusu, wazo la kufanya hivyo lilitoka kwangu, kulingana na uzito wa majukumu yangu nalazimika mda mwingi kuwa mbali na nyumbani na hivyo mume wangu kukosa huduma za msingi”, ameandika Bi. Zainab Abdallah.
http://dar24.com/mkuu-wa-wilaya-amshukuru-mumewe-kuongeza-mke/

Sisi wengine tunatumaga notice ya ‘mupende musipende’
[ATTACH=full]410572[/ATTACH]
cc @patco ,nimekugetia jina mupya ya kunitumia. [SIZE=1]Didacus:D:D:D[/SIZE]

Since Uhuru became rais this cultural menace stuff has really been revived with force na vile Moi alikuwa amekataa hii maneno.

Its not just Luos, its everywhere. Uliona speaker akifanyiwa tambiko. These habits pulled back Nyanza. They have retarded gains in Maasai land, girl child married off at young age.

Now even young educated guys are getting 3 wives. Kikuyus have revived very dangerous sects and beliefs.

Ruto is a Christian yet he is involving his eldest son in heathen practices.

Now you will see Kalenjins going back to heathen habits and witchcraft.

Uhuru held a similar traditional wedding for his son.

Jalango did a film last year on Jaramogi. The guy had sijui how many wives. Sijui he slept alone. His wives never got along. His numerous kids were suffering. And Jaramogi was extremely traditional to the point of practicing chira.

Jaramogi had that big fimbo of witchcraft… saa unashindwa… na huyu ni national leader.

Luo men watching Jaramogi start imitating his heathen habits. Instead of guiding people forward he was pulling them back.

:D:D:D:D

Unasahau yeye na hio chicken farmer ndo walituletea back in 2007?

Mimi nasema amen kwa jadong Didacus kwa kutoa mwongozo thabiti kwa familia. Mwongozo kani, mwongozo wima isiyoyumbayumba. :D:D:D:D

God bless her. And may her light and exemplary example shine and illuminate the paths of our women. Our women who are still wallowing in marital darkness, committing suicide and what not.