Mkate ni ksh 65

Mimi hununua njugu ya 300 bob a week naweka kwa oven breakfast/lunch sorted. wachana na hizo takataka za mkate

Bread is unhealthy unless you get sour dough made bread. Tafuta tubers you boil, ama if budget iko, eggs… as Dr Amerix advices

Wapi uku fertile ivi

Nunua millet flour na mayai uunde pancakes

Aren’t both carbohydrates? Tofauti ni?

Very true. Glycaemic index and how long the food will give energy matters (to avoid snacking)

do you have a degree?

Ever since I stopped eating bread, my weight has been maintained. It no longer shoots dramatically.

Huu upande wa akina Nabii.

Mahindi msimu huu pia yako Sawa, just see the distance from one internode to the other. ≥ 2.5metres high na tusseling bado.

Hii mbolea ya nabii ilikua genuine.

Nikiwa mtoi 5 Bob would buy a loaf of bread, a packet of milk, sugar 1kg, mayai 10 na upewe change ya 90 cents

Ukitaja amechieth tena ntakukojolea kwa mdomo umbwaa hii

Nowadays nikikula mkate apart from united bread i experience constipation for atleast 24 hours… its like most bakeries nowadays put in too much gypsum to make the flour more tender

Sawa na kama tuko allergic to groundnuts?

Tumezoea fake ushuhudas

Mimi my grandad alikuwa ananunua mkate na sumni,

Ati gypsum?

sili mkate. firweni

Hapo kwa njugu iko sawa saidi na thurungi :cool:

:smiley: unajua tu gypsum ya kujenga.
inatumiwa kuongeza calcium kwa unga pia, to stabilize and add firmness to other food
rudi kwa mitura na kujenga pigsty

[MEDIA=twitter]1663119281112924160[/MEDIA]