Mkamba wangu na Mkisii wangu wamerogana. Saidieni

For three years I dated my sweet Kamba girl and last year we were blessed with a child. After that though akaanza upuzi and we kosana so bad, I had to kick her out. Nikakataa mpaka ku support yeye na mtoto Yake. Late last year I met a cute kisii girl and things progressed vizuri. We immediately were in love and all over each other. But alikwa kuhusu the Kamba girl and my baby. She noticed I had developed a soft spot for the mkambodia after she begged for mercy and support money. Wivu… Wivu…
Now the Kisii lady aliorganaise akaroga huyu mkamba but not before the Kamba had also deviced a similar plan. Sasa wote wamerogana… Mkamba anafura tumbo nonstop and is being beaten by Janis at night na Mkisii appears to be loosing it. Talking to herself and acting crazy. Stripping, uchafu incoherence etc. Yani amechapa.
Mimi niko tu Kwa sidelines na siwezi ingilia ama nirogwe pia.
What to do?

3 Likes

gotta ask … was it HER baby or YOURS + HER baby together?

2 Likes

Analysis of this hekaya: Kamuti ya wakamba ni Kali.

2 Likes

Mine and hers… But kids belong to their mother

1 Like

The next person kurogwa ni wewe,I will recommend you do your will ASAP.

3 Likes

:eek::eek::eek:

Meria mata Huwa amekunoki,naona ukiwa kaimport hivi karibuni

3 Likes

:D:D Afro cinema continues…

1 Like

kuroga mjinga ni kuwaste dumba,uko chini bratha, man up

But alikwa kuhusu the Kamba girl and my baby. She noticed I had developed a soft spot for the mkambodia

osungu.dlll

1 Like

Ulijuaje wamerogana??:smiley:

Ama mlienda kwa waganga pamoja??

Am sori to tell you this in the new year. Wewe ndiye ulirogwa na genes zako - what kind of a nincompoop believes in kurogwa and all that shit in this century?

Yaani umesomeshwa hiyo miaka yote na huu ufala haujaisha?

11 Likes

iyo yako sio shida…

shida ni dame msupu kuruka lakini ako na voice kama ya mwakazi wa citizen

Shinda apo ukisemanga hakuna urogi

upus

@PepoPunda ile mapepo uko nayo si ya punda…wacha fangi…

2 Likes

Hekaya fake.

1 Like

Ever wondered why kisiis move to Texas,Canada,Ongata Rongai,Kitale ,Nimesora e.t.c?,Is there a kisii in this forum to explain to Mashed Potatoes?

Wapi ule mrogi wa kijiji aka jumabekafu atuchambulie hii maneno.

2 Likes

you forgot Nimesota

2 Likes

Fixed