Morning nilisikia njaa so nikakimbia kwa shop nibuy mkate ndogo ya festive angalau nikule kakitu.
So bei ya hio bread inakuanga 65bob na mimi hulipa na mpesa sijui mbona nilishutukia nimetuma 200 instead of 65bob.
Huyo mshosho shop attendant anakuanga rada na hupenda kuniita kijana yangu.
Nilisikia tu kijana yangu mbona umetuma mia mbili badala ya 65 hio 135 ni ya nini.
Nikamwambia anipe change akakataa so ilibidi nimechukua kitu ya 135 na hio duka sirudi tena
