Wadau ,
kama ukana mix ya 2pac mixed by kenyan Dj ,tafadhal niweke hapa; if anyone has Ile mix ya Tribute to Joseph Hill -Mix ya Kikwetu, pia una weza weka hapa nita shukuru sana.
Hizo mix ni over 200mb ukitaka mix jaribu mp3juices.cc they have everything
Niko na mbili zangu za PAC kwa Google drive. ingia inbox nipatie wewe rink
niskumie link
Weka rink hapa buda. Na password pia