MITUNGI ZA KEG EABL

Good morning listers natafuta mitungi za keg so if u have any lead or HV them I’ll appreciate.

TIA

sema uko wapi ?

Watu wakianza kufikiria keg hivi jua ni kubaya.

u can find me in Thika, ruiru BT naeza kujia anywhere

fombe ikiongezwa bei wakenya hawana otherwise…na huku kwetu waliban spirits

kuna wasee niliona wakiziuza githurai but saa hii kupata nadhani ni hard

Niko na ile mtungi ya maji ya metalic na rangi kidogo.tuipake silver,itawork?

Niko serious buana

reminds me of my campus days, we always had a keg mtungi and pump in the hostel…ata madem walikua wanakam kuhang out kuonja ju hawakutaka kuonekana kwa pub za kawaida…

@kach iz back that was a nice hustle I must say

as much as I’d like to say yes it wasn’t that kind of hustle, we were young, high, thirsty and horny niggaz, ilikua ya raha yetu tu

1 Like