Misuse of firearm

Drama in Naivasha as Senator Paul Njoroge
shoots in the air in an attempt to stop recovery
of assets at a petrol station that he runs.

Senator Njoroge is alleged to have shot at Shell/
Vivo CEO Polycarp Igathe twice .
[ATTACH=full]82159[/ATTACH] [ATTACH=full]82160[/ATTACH] [ATTACH=full]82161[/ATTACH]

alianza mambo ya kusema DP Ruto ajipange sasa kumeanza kuumana

9 Likes

If indeed the recovery process was being conducted legally, senator engaged in criminal activity by his actions.

2 Likes

nikiwa primary kuna kilema alikuwa anasumbua sanaa kuna wakati ilibidi nimchpe kofi aanguke chini akawacha ushenzi

3 Likes

Si hii ni Ile ngombe ilikuwa imeanzisha kusema ati kikuyus will not vote for Ruto. Hehehe. Bado anaiba pesa ata kama ni disabledā€¦

2 Likes

Ingekua navy seal wetu who is rumoured to own a magnum saa hii angekua ndani akikamuliwa mkia, huyu senator ni mwenyenchi sio mwanainchi

9 Likes

Huyu ako kwa list ya drugs. Anakuzaga mogooka

12 Likes

http://nairobinews.nation.co.ke/news/senator-njoroge-in-gun-drama-with-shell-boss-over-petrol-station-row/

the level of impunity in this country is at an all time high

5 Likes

Appointing this dolt as a Senetor was a terreble mistake !

3 Likes

evidence ya spent cartridges otherwise hii inanikalia ile hekaya ya @FieldMarshal CouchP, Maasai, na Gun powder.

2 Likes

@introvert njoo na Ile excavator na lorry ya kanju
This is terreble

3 Likes

Hata mimi siwezi kubali pesa yangu ipotee. There is a court order barring the company from repossessing the gas station.

2 Likes

it was the association of people living with disabilitiesā€¦

Senator Goksā€¦

4 Likes

They were ā€˜debrandingā€™

The court order was clear that Vivo energy was not allowed to interfere with anything in that gas station. ANYTHING.

1 Like

[ATTACH=full]82170[/ATTACH]
Huyu mtu ni kama tutampatia pass kama ile ya @Chloe.
[ATTACH=full]82171[/ATTACH]

14 Likes

Huyo senator ako sawa. Sielewi hii excitement ya kutusi kila mtu who doesnā€™t carry your opinions. Discharging firearms ndio makosa.

4 Likes

hio ndio huitwa standing your ground na ndiyo napangia kufanya 8/8 /2017.mimi foreskin yangu niliacha kwa akina meria mata ,siwezi tishwa

2 Likes

Just seen the clip
The vivo CEO was seen calling his thugs .kama hangeshot the goons could have attacked

1 Like