Missive From Panyaste: Episode 2

Whassap ma ni**as. Vumbistan kuko aje? ?Huku Ujeru tunapambana na hali yetu ie winter manenos.

Berlin in the summer. Notice how there is no chokosh in sight cc @uwesmake @kush yule mnono . Hiyo building iko foreground ni ya Ekwete ya huku Ujeru i.e. Deutsche Bank
[ATTACH=full]221431[/ATTACH]

Hii tv ni ya @Panyaste. Tulinunua baada ya kuchunisha mnaija fulani skuma. 49’’ na hatusumbui. @Chloe divide that by 7;):wink:
[ATTACH=full]221432[/ATTACH]

Mi na Panyaste ni taxi drivers huku Ujeru. Still make more in a month than auditors like @Okiya do in three.
[ATTACH=full]221433[/ATTACH]

Huku ni mtaani. Notice how all flats must have colour coded bins. Si ile umeffi iko paipu kwa akina @vuja de watu kutupa takataka ovyo ovyo
[ATTACH=full]221434[/ATTACH]

Relaxing with my favourite beer and cigs. #Life’sGood
[ATTACH=full]221435[/ATTACH]

Stay tuned for more…

Lazima utuambie unaendesha uber?

@Meria aliendesha hii mashini 1980 na hasumbui watu kwa internets.

[ATTACH=full]221437[/ATTACH]

Bro. Uko sawa? Kwani ule mnyanya mjeru amekukasirisha?? Talk to me. Nipigie kwa ile namba yangu +49152130855***

Si nilikuambia niko off hadi next week. Hukupata Whatsapp yangu? Saa hii niko Cologne narudi Berlin Sato. Nitakudungia

jiongeleshe,don’t feed the troll

You’re acting very weird bro. bist du in Ordnung?

Uncle @Blaze …ile fridge ya panyaste ni yake ama alipiga picha ya neighbor akim drop na Uber yake

Yaani kuna talker below kamidget on the food chain. Maajabu haya.

maliza kamidget kabisa

:D:D:D:D:D:D Buda what are you talking about. Mimi na Panyaste tuko tight kinyama

Kimani…cheza chini

kumbe wewe ndiye hukachunisha sukuma,?

Ghasia!

:smiley:

It’s getting interesting:D:D

apana cheza na optimus prime

Hehe … @Panyaste = @Blaze Ujeru = @admin = @Jirani

Its getting interesting as mungiki @Bhai says.

Alaf mujamaa mbona umeficha lebo ya hio biere unakata, ama ni leboless

Ilikuwa ya midge…sorry…ya Panyaste. Staki kumwanika

Haina mambo mujamaa though wew … oops … panyaste unakuwaga na ushosho sana. Chunga sana ama utaendelea kuchunishwa hapo Berndora.

I am Blaze. @Panyaste 's best friend in Ujeru. Muulize atakwambia tu. We are living life to the fullest sio kama wewe na ile ngamia ingine Jaymo mnachunishwa skuma na Waarabu.