Misplaced/Lost phone

If you call a number, is there a way you can tell whether the phone has been switched off and the sim card intact or its switched off and simcard removed.

Juzi I misplaced my phone, thou not sure if stolen or mama aliificha coz nilikuwa gauge. I had come from a one to many and on reaching home tukazozana kiasi, next thing on checking ma phone sikuipata. Am not quite sure if I arrived with it home or ilipotelea kwa mat.

Whenever I call the no. am getting a phone switched off respond.

Hiyo ya simu sijui lakini kama una bibi anaeza ficha simu juu umerudi home mlevi then consider yourself single na uenze kutafuta bibi.

Wanaume kama mabinti!

14 Likes

Cerberus app,good app,you can tell this even location,try android device manager if you had it linked to your gmail

2 Likes

Avoid kukozana kiazi at all cost.
Next time jaribu kukosana kiasi.

6 Likes

Go thru my statement kijana,tulizozana !!

1 Like

he he :D:D:D

so mki argue she hides your valuables? You must have “lost” a lot of money ukilewa unadhani umeibiwa kumbe zilitolewa kwa wallet ukiwa hapo tu kwa kitanda

4 Likes

samehea jamaa, huoni anaandikia haraka haraka kwa choo bibi asijue halafu apate kichapo kingine…

3 Likes

Change the wife ASAP

3 Likes

Please check if your transformer is still intact.Confirm to enable me book an emergency ambulance and arrange for Njoka’s press statement:-

https://www.youtube.com/watch?v=8NZ5M7oWWzs

1 Like

how did you get to move from NV to VE kama umekaliwa na bibi?

2 Likes

Sijakaliwa ,niko job

Huyo mkikosana sana ata nyofoa Transformer.

1 Like

Enyewe over holidays sikuwa najua Jana kulienda aje ama nilifika kwa nyumba vipi. Nilikuwa najipata Tu. Hii Ni 2nd day kwa own detoxification programme

1 Like

Mobile phone insurance would have come in handy here

Yani badala msaidie jamaa nikumdiss ati venye anakaliwa na bibi.

unaonaje wewe?

Naona Kiswahili hakitukuzwi; mwakifukuza. Yeye ametaja neno ‘Kuzozana’ wala sio ‘kukozana/kukosana’. Mambo mawili tofauti.

1 Like

I edited his post bingwa wa lugha, to suit what I wanted to say.

Ugui biu