I need your prediction
ngoja predictions ziingie
Australia btts
hehe Nikiwahi ntaleta.
@MISCHIEF nitoe makosa kasee hii ni JP ya betin.co.ke
[ATTACH=full]21775[/ATTACH]
Waah jackpot ni tricky…just belive in yourself
Mzee mzima saidia hapo.
Al sharjah vs Emirates
Halftime/full time
X/X
Odd 5.85
Mersin vs fenerbahce
Half time/full time
2/2
Odd 2.95
Karsiyaka vs Giressuspor
Half time/full time
2/2
Odd 5.25
Olimpia vs san Lorenzo
Half time/full time
1/1
Odd 3.65
Trapani vs Modena
Half time/full time
1/1
Odd 5.25
jaribu at your own risk
nimejiamini nikaweka hii sasa wacha nianze kupigia hiyo 10 mirrion hesabu
[ATTACH=full]21791[/ATTACH]
man utd wamenianzia salama ma pink handles kujeni hiyo mita kumi tutamaliza na nyinyi hata wale wamepata watoto juzi mtapata kazi tu lakini najua hizi game zinafuata zitakua ngori
GSTAR sahau 10m southampton lose,
PIA ARSENAL NI MAKENDE YA NYANI