Mis Natafuta u wapi mama?

Pia inawezekana maana kuna watu wamebadirika

hata mimi niko na ID tofauti kabisa

Pole sana… amekusikia atakufikia…

Cc: @Mahondaw

Alipigwa ban

Wakuu twendeni JF

Tukachat pm

Ban ya jf au huku kt?

tukaendeleze uzi

Sawa mkuu.

Kule ni kusoma nyuzi za zamani, pm na kulike tu

dahhh wametuweza kweli

Hahahahaha

Huku huku ugenini, alileta lugha za ajabu. na ukiona umepigwa ban huku Duh ujue kweli ulikuwa motoooooo
wamempunguza kasi kidogo

Sure. ila yule nna uhakika 100% alikula ban

Basi yake wanasema ilikua too much maana huku mpaka ule ban sijui ufanye kosa gani tu

Ukifanya kama alivyofanya @Miss natafuta