Miraa

ma jama handas bado ina shika ama tuji pange na mihadarati zingine hii weekendi?

Osha na Jik

Issa no go zone in Kitui county. Governor Ngilu amesema watu watransport hiyo something via osmosis not through her county. Hii sasa wadau watakula kwa viewsasa

Zimenishika zimenishika

[ATTACH=full]292858[/ATTACH]

kwani ina weza spread virus?ama ni ufala tu?

Too much human contact in the greenstuff, and which can’t be washed or sanitized before consumption.

She can’t really prevent the transportation. Most traders there use small cars eg probox. Unless she plans to set a roadblock to stop each saloon car, then this is just pang’ang’a.

Handas haitashika ukiosha miraa. Alkaloid cathinone inaua kolona cc @patco

Amesema no miraa period. Watu watafute personal cars na wacheze chini . Hizo probox zote zitasimamishwa. Bag moja utanunua 2k.cheza tu

As long as we have same cops at the garissa road-kitui junction, and the kitui machakos border, non of those directives will see the light of day.

you can dip them pure changáa for 5 minutes before chewing

Standard.
Nangoja kilo ifike Kampala asubuhi.
Pana tambua.

Tumia cocaine

[COLOR=rgb(65, 168, 95)]Alafu uongeze iliki na njugu