Miraa is overated, muguka is underated

Wacha wewe. Usikule Jaba daily

Kuna places daycare na playgroup hazina watoto bana

Mbona hisaidii uyo waria kumwaga io mafuta amejaza mwili wote?

:D:D

Yes for m’e whose hometown is mbere agree muguka is our cash crop and has such side effects but there are variances in the type and quality of muguka

Miraa ama Muguka hukuliwa na bottom of the barrel loosers of the society. Kunuka mdomo, kukodoa macho, na kuibia watu usiku juu mlishinda base ya muguka all day mkichana badala ya kutafuta kazi. Bure kabisa

Tupee coordinate tukuje kuona hao horny Embu ghels

Anza na huyo goodlady

Good lady aneza kuwa @uwesmake in disguise

Hapana , sungusungu, trust me ,Mimi Ni Deep state,huyo Ni 100% verified female

Usibishane na hizi mtu ya plantation:D:D. Jana kulikua na reggae pale milan,goks ilitamba mbaiya.place poa ya kutuliza

Long term chewing of Muguka will lead to ufukara. Heri veve kama huna ngiri hakuna starehe. Lakini hii starehe ya 50 na keg ya chwani itafanya akili yako ilale and it will lead to peasantry.

Biyande chinkororo.

Nakii yaa omoisioyo kenyambi?

Momura ominto buya.

Vijana na wazee wachaneni na drugs…

Ulikuwa unaidai before retire?

@Goodlady Niaje. Muguka grade AA per kilo ni mangapi. Nikunukishie kitunguu.

Lazima uangalie hygiene yako mujamaa. I’ve been chewing khat all my life and if we had to compare meno yetu, yangu ni whitest kushinda watu wa keg kama @kanguthu na @Big fire

Na mbona hizi vitu zinaitwa jaba, miraa, ndom etc huwa common na reggae? Yaani siku ya reggae ukiingia club utadhani mbuzi wako area, even cleaning the next day is always a hurdle.

Wacha ni baki na white cap na rumba yangu. Lakini wasichana wa Embu ni watamu.

So mujamaa wewe shida yako na gomba ni inafanya kazi yako ya kuosha club ikuwe ngumu sindio … kwani mwenye club hakulipi poa?