Mini car

Teacher Elgin ametumiwa hii gari from the UK, Talkers hii gari ikoje?

Gari gani hiyo boss ?

Mini coopers, Itawezena na njia za Ukambani?

Boss hiyo ni BMW

1 Like

Not realy, In the UK hizi gari ni common sana. Am told hio company ni ya BMW.

@kabuda hebu tusaidie hapa. The car is already shipped,naingoja. I visited the company on April this year. The company was kind enough to offer me the car after kuwaambia my transport problems to n for job.

umesema wewe ni mwalimu? nashuku umetudanganya…

1 Like

[quote=“gashwin, post:7, topic:65789”]

umesema wewe ni mwalimu? nashuku umetudanganya…
[/QUOTENimegoma hata ama ni kwa sababu ya for badala fro…u can correct that ma nigga. Gari yaja, kama huna comment ya kutosha…nyamaza na Kisungu yako hainisaidii.[/QUOTE]

watu wakigoma the brain goes on leave? pole sana…

What year?

2015 mini cooper Roadstar

R

Roadster …pombe imefika hapa.

Weka mbica ndo nitoe maoni

Boss, tayarisha 1M plus for Mr. Njiraini. But probability ni kwamba this is [SIZE=3]H[/SIZE][SIZE=5]E[/SIZE][SIZE=6]K[/SIZE][SIZE=7]AYA[/SIZE]