MINERAL WATER

Which is the best brand. There are some crooked dealers wanaenda Kwa takataka wanaokota machupa za maji na kuwekea watu maji ya tap.so talkers kama wewe ni mtu wa kununua maji ovyoovyo utakufa kipindupindu. [ATTACH=full]112147[/ATTACH] [ATTACH=full]112148[/ATTACH]

Nwdays i dont buy water… Inachotelewa straight from the city council taps that is if your dispenser has a purifier

To stop counterfeit vote for raila na mambo yatabadilika
[MEDIA=facebook]1555763494444614[/MEDIA]

watampa wengi roundi hii

RWNBP!!!

highlands ama quencher

si ununue ile Pureit purifier walikua wanauza pale Nakumatt( dont know if they still do) then u can even use kanjo or kisima water bila stress

D&S have nice affordable purifiers.

Quencher does it for me

buy from well known companies, hii kirichwa wanaeka maji sukari…dasani, keringet, aqua clear, maisha, aquamist n quencher recommended…how many litres do u buy in a month?

Keringet. na Aquamist in most supermarket nowadays they refill as u wait ata ukibeba mtungi ya 20l ni sawa

me nakunywanga ingine hapo inaitwa Genjoy.

Quencher kwani inauzwa huko Dubai Kush?

Hehe … nkiwa home ni quencher. Hii Al Rayyan ya hapa haiwes saidia huyo mdau ameuliza swali

OVERHEARD: Dasani sold in some parts of Northern and Eastern Kenya is bottled in a building right inside one of the Mukurus…and of course they pay “protection fees” to the local police. Sinunuangi maji bottled since niskie iyo maneno…I boil my own na thiitima