Siku hizi watu wameanza kuuza vifuli fake banae. Just bought a 60mm Mindy padlock for 750/- na kufika nyumbani trying to test it kifuli imeachana tu pekee yake:D:D:D
Kila kitu hii Kenya yetu ni fake tu.
Including your president and his deputy. Wote ni fake.
You’ve never had a real prez, wacha za ovyo
Na vile padi za 500+ a while back were the “stamp of approval” ya quality. Siku hizi ata hizo ni fake
There’s not a single padlock I’m this world that can’t be picked.
If you live in a bad neighbourhood hama tu.
Kufuli endea China square niliona wako na kufuli Poa Sana.
Enda tenacity locks.
Ulinunua wapi?
Wanauzanga vitu poa za stima mdau?
Yes top quality for Chinese market. Wacha na hizi knock-off za tronic. Watu ya nyamakima buys low quality halafu wanaweza sticker ya OEM tronic. Huko ni Chinese brand for home consumption.
Nyamakima
Nunua genuine YALE lock and make sure they give you a plastic card with the serial number. Enda YALE dot com and verify.
Another option is MulTilock of Israel, was very popular for gear lock. Expensive but worth it.
Nyamakima, River Road, and Kamukunji are the homes of counterfeits. Vile @Wanaruona amesema hapo juu. REAL mbirrionaires tunaendea vitu China Square and other exclusive shops