Mimi uogopa hizi doggy

Ni pitbull waseh… Gwaya Hii doggy… Bukusu shepart ni saucer… Mwenye hii doggy amenishow hii pitbull um attack at times sanasana wakati haijaipea dish
[ATTACH=full]44675[/ATTACH]
[ATTACH=full]44676[/ATTACH]

3 Likes

kwani hizi mbwa za kwenyu dando huwekwa mask? ilete hapa langata huone vile tutaifanya.

4 Likes

Hio ni mask ndio isiumane

2 Likes

ok cool hapo sawa

1 Like

@Jirani, how are you dealing with your arthritis? Hiyo thumb haileti shangwe.

12 Likes

nikunona

1 Like

Nko sawa mseh

Hii ndio mbwa unaogopa?

http://i.imgur.com/cpCwmLT.jpg

28 Likes

Mbwa ni vile unailea. Ukiifunza kuuma rasa ya wakanyama na junkie hivyo ndio itafanya na pia ukiifunza kupenda watu hivyo ndio itafanya

11 Likes

Pit bulls are vicious breed of dogs. They kill and for the people that do dog fights, which are illegal, use this breed. Zina fight mpaka zinauaana. Ogopa pit bull.

7 Likes

[ATTACH=full]44681[/ATTACH] hiyo dogi ni bad news kwa mtu haimjui.

6 Likes

Buda, It’s called a muzzle, not mask.

13 Likes

Hakuna ubwa kali kuliko ile ilokuwa immortalized na @introvert :smiley:

3 Likes

We inafaa uwekwe kwa compound ya mtu yuko na hio doggy wakati ime achiliwa ndio uconfirm ni mask

1 Like

ukitaka kuweza doggy ni usiiangalie macho kwa macho hautakuwa threat kwake. otherwise nyahunyo mbili kwa kichwa unamaliza kazi mara moja.

1 Like

German Shepherd ndo doggy hii pana tambua

2 Likes

Thanks for your insight! Kuna ule mwatchman aliliwa na dogi Kayole wish he had received some training from you on how to disentangle himself from that kind of situation. German Shepards from that time nkiona mimi hutoka unyoya hata kama nadrive!

1 Like

Ama uiongeleshe kichinku. Wong can confirm

3 Likes

Talking about dogs. Kwanza ocha my late grandma alikuwa na mbwa zilikuwa zinalinda jiji. I guess almost wetu wote had a dog named Simba. :smiley:

Mkifika ocha you have to make sure Simba amefungwa sehemu. :smiley:

1 Like

hiyo si kali, it is just one philosophical dog…