Mimi nani

Katenant kanakuja na kiherehere ati kapake nyumba yangu rangi za bei ndogo ndogo ati nirudishe deposit, Mimi zangu huwa naamini crown paints pekee,aende na huko akajue bei

Slumlord unasumbua.

Hebu mwambie, hajui anadeal na 130kgs of pure ghaseer.

Bring back @Wakanyama

He he he :D:D:D

Usikubali. No quality paint, no deposit.

Brown skin ungekuwa dame tungekula na wewe hizi za slums

Deposit in kora na ago

Stori kama izi mtu hujiwekea…saitan.

Siungemwambia hifo

Ni kukasirika mason,na struggle,najinyima mpaka nikakonda nikawa 130 KGS na mtiaji kama wewe anataka kuleta mchezo?

Hey @Motokubwa. How yah doing?

Nimemwambia na sasa nawambia ,nimekosea MTU kweli?

Fine ,thank you sir

Apana tuletee pisha ya rangi bonoko tusefishe macho…

How are we to know he is a landlord, wacha tuambiwe wewe

Ngoja ahame,nimehesabu mpaka za brush

Hii ploti ya mamako utasumbua nayo watu hadi lini fala hii?

Purple aki uko Nairobi na sikukuu hujanitumia aki

@Randy huwa hanipendi,by the way Mimi bado in butcher,broker wa ngombe,building materials, plots na kadhalika,if you need it i got it,lakini unajua mini utajiri alikataa Mimi.niweke kwa maombi bro

Mpaka yesu arudi,wakati nitakafunga vizuri 2030 hivi nitakuita uniwekee hot water solar system najua utakuwa umepunguza ujinga