Treat every lady in a club like a thug. Shida yenu mnadhani eti hizo lounges zimejaa madame working class and independent.
1 Like
Ukidinyana calabash hawezi kua na hizi mashida
1 Like
Sasa ameacha gari… wanawake.. na familia na ile kazi alikuwa anafanya kuna msee amepata promotion ama biashara [blessings hufikia msee na njia nyingi].
Mwenda zake..alikuwa na mtoto mmoja.. eti. According to online reporters.
1 Like
Umesahau kuandika overrated lounges. Na masaa ya kuedit imepita.
@administrator saidia kuedit
4 Likes
Hio ambia mamako…we will keep preaching this message to men .We don’t want to lose more men ..This death was avoidable

