Millionaire traffic cops:

nearly 300 traffic police officers refuse to avail Mpesa records to the review board.
(kuna mtu ameambiwa aende akikaukaga)

5 Likes

Rahisi sana. Kimbia kotini, leta order, halafu kimbiza Safaricom.

2 Likes

:D:D:D

my mpesa statement is private, why do i have to share it with a so called review board? ata mie siwes toa

2 Likes

(whispering)
There is a plan we had come up with ya insurance. Since bank accounts na m-pesa get dug into. Lets just say it never took off as i didint have connections. Though i wouldnt be suprised if anyone stole it

unafikiri order zote upatikana raisi kama za kalpana?

Alafu pigana na safaricom

Na si ukikataa utaambiwa uende ukikaukaga?

The same will happen when I fail to explain all the abnormal transactions in the statement

2 Likes

If you’re in public service , eh not so private .

Hawa watu wa vetting board wanasumbua.

HAHAHAHAHAHAHA.U GUYS ARE FUNNY.TI WAMEAMBIWA WAENDE WAKIUMAGA

Hakuna kitu cha upuuzi kama records za MPESA! Zinaweza kufanya uonekane kama wewe hufanya biashara ya mabilioni, na kumbe ni tule tupesa twa rent ya kale kanyumba ka rooms nne za elfu mbili mbili tu!

3 Likes

M-Pesa huwa na shady transactions mob za watu wa kitu kidogo. Iliokolea hawa askari sana.

Ujanja ni ku register Mpesa na jina ya mwingine

1 Like

Ama kuwa na line mbili, moja official hii ingine ya shady deals.

1 Like

tulia omwami