Milk cartel

Wacha Uhunye anukishe kitunguu polepole aisee

Ni ngumu sana kupata maziwa haiko linked na brookside

haha kwani gachagua alishindwa na kufight hii cartel

2 Likes

Is that a rhetorical question ama a genuine one? Hio swali ya huyo mumama ni kutukana ujuaji/ intelligence ya viewers.

Fanta but hapo nyuma Coca-Cola Ltd
Sprite hapo nyuma Coca-Cola Ltd
Coca-Cola Coke hapo nyuma Coca-Cola Ltd

From many bottling plants

Simple answer to her question is that the Mother Company is Brookside Dairy, which has milk processing plants in Ruiru, Kiambu and Parts of the Rift valley.

Corolla chassis label Toyota
Avensis Chassis label Toyota
Harrier chassis label Toyota

Aende aile ya beer arudie the same stupid question this time with Tusker, Whitecap, Balozi, Pilsner. Zote ziko na EABL label and address

2 Likes

Kuna time kuanza biz ya maziwa was asking for death or be forced to sell.

1 Like

Eabl is owned by dageo they own all beer companies in the world vita za keroche is supported by dageo

1 Like

Wakati ya Konyagi ama

1 Like

Kuficha white. Siwezi nunua brookside Mimi ni wa tuzo na ilara na Jameson is laughing all the way to NCBA

The illusion of choice

What’s happening to Mt Kenya milk brand? It’s been bashed kwa socials sana yet just recently most folks preferred it to all other brands. Ama ni fakes zinawachomea