How now?
Remember kuna wazae pia wana hizo newer and quieter models. Hiyo ni tabia ya vijana wana gari mzee which infact I hate too. Hizo kelele hapana. Mwanaume mkubwa unapigia watu kelele asubuhi. Ghasia sana.
Hapo Machakos town Kuna mvua siku hizi?
Macha na ukame siwezi jaribu… buda kikuyu land has some lovely scenery, fresh air, birds chirping in the morning… fresh milk and farm produce… nilichoka na hewa ya nairobi imejaa chemikals.
Peasants kama @Tom Bayeye wanapeleka shineray Kadhaa Na Bluetooth speakers kuchua omubibi
:D:D:D:D:D
Mzee @Abba ni mtu ya Honda CRV hana time ya ego-comensating machines kama those loud Subarus.
i also hate those old models which make too much noise
Sorry but forgive my surbubiness,shineray ni nini mtu yangu?
Naomba biz idea ya njugu. Venye nawezaboresha mazao na intake. Naona +254 watu wa jaba ni kibao.
Noisy motors should be banned , kwanza hii
Shineray 175
[ATTACH=full]486087[/ATTACH]
:D:D:D:D:D:D:D wewe ni mbwa wallahi
HiI shinerays wenyewe hufanyia straight piping. Sidhani kama hukuanga noisy ivyo. Wanafikiria it sounds the same as a 1800 cc Yamaha Cruiser.
Yeah true that. Hio sound ni after market
Ata watu waseme subaru ni za watu wa illuminati, lazima ninunue moja. Kama umetombewa na jasubaru nenda kalilie huko kwa choo:D:D
punguani kabisa kwa minajili ya kuwa na Subaru lisiolo na turbo.
Subaru’s are very capable cars for their price point. AWD with xMode
Lakini the noteriety of late 90s to mid 00s models is akin to Seirra Cosworth huko England.
That said, EJ unequal length headers rumble + BOV is orgasmic…[SIZE=3]and inefficient[/SIZE]
Si they just toboa that exhaust pipe. Same effect.
kutoboa ni peasant shortcut. Having ULH ni engineering/design flaw
Kabisa mkuu, Rironi, Limuru going up for me, nimepitia mara kadhaa, a nice bungalow own compound trees, trails for walks na milima(sceneries), all you need is a car, Nrb commute under an hour.
Hizo unequal length headers ndio zilifanya SUbaru ikakua na hio iconic boxer rumble unlike the modern FA platform engines with equal length headers
ru offering free mkya to this talkers