Mijinga

Msungu is a Brainless Wild Animal (MBWA). Shoulder, arm and hip fractures. Internal bleeding. Should be lucky to be alive.

1 Like

What did he expect na omwami hana PPE?

After kupata injury ndio msee hujiuliza nini ilikuwa mbaya na yeye.

Jana nikiwa along kangundo road past chokaa… kuna lorry mbili zilitupita, zilikuwa zimebeba mawe. Kazi ilikuwa imejipa mahali.

Nyuma kulikuwa na hawa wasee hudandia. Huwa wanaona lorry wanaikimbiza wanapanda juu. Wanapewa job ya ku offload mawe ama mchanga. Zikapita na zikazidi. Walikuwa wamechangamka sana.

Baada ya dakika kama tano kwa barabara nkaona moja imesimama mbele yangu na kuna mtu kwa miguu za nyuma, ilikuwa lorry ya miguu nne za nyuma zote nane plus za mbele mbili. Lorry kubwa.

Driver akatoka kuangalia akatoka mbio, wale walikuwa wamedandia wakashuka wakaangalia wakatoka mbio… nka wali chizi kiasi. Nilidhami ni mtu anakimbizwa.

Nka slow down… nkacheki naona msee ako chini… intestines ziko nje.. part ya juu iko intact but kwa tumbo section hakuna.. kwa umbali niliona akirusha miguu akisonga. Alidedi tu hivo.

Huwa najiuliza nini huwa mbaya na driver, hawezi simamisha gari afukuze hao watu. Sasa hio itakuwa hasara kwa mwenye gari na walikuwa tu wanapeleka mawe za less than 30k.

damn!!!

1000 ways to die stuff…

kenya haraka yenye tuko nayo.sielewi..na sio mamillions

1 Like

Alafu watu ni vichwa ngumu and self centered ile mbaya. Wanajijali tu.

1 Like

One time Niko Kwa mat jamaa ana hung Kwa mlango na sidonda juu alikua analipisha. Kiasi niskia driver amewika . Wewe ume hung Kwalango kama unataka kujiua shika mia uende uka buy kamba ujinyonge usijiue hapa kwagari yangu Mimi!
Made my day.

1 Like

Huwanga risky uzuri kesi inaweza kuwa rahisi juu jamaa hakugongwa na mbele… But again mbirrions zita exchange mikono. Hasara.

Goggles ingemsaidia kweli?