vile @Purr_27 anasema ana size 39 ananikumbusha venye mi huenda town kubuy kiatu and i end up kununua kiatu yoyote inanitosha tu…size 44 ya mguu nakwambia in next 5 years nitakuwa napiga order kwa bata:D:(
nimechoka kwenda gikomba unakuta kwote hakuna kiatu inakutosha unarudi cbd:(
Navaa number 8, is it true ati dame wenye miguu size ndogo ni watu wa kelele mob,anakugombeza unatoka midnight unaenda pub,juu hata uende sitting ankufuatisha kelele?asking for a friend
eh mimi ni 45-46, yaani 13 ama 12 kubwa, lebo zangu ni Clarks, timberland, Puma, na Nike zote huwa mtumba, tangu niingie secondary mpaka wa leo the only product for Bata I know ni patapat(slipers) which bado huwa ndogo, so mi Gikomba mwisho