Mighty Prophet alienda wapi?

Where did our mighty Prophet of the Lord Dr Owuor disappear to? I haven’t heard from him since the advent of Corona. He really moves me with his preaching and charisma.

The nigga got a mansion from his followers anatulia tu polepole bila taxes. Kama uko familiar na ruaka drive, runda kuna humongous mansion ya white iko na ballistic windows. Hapo tuu

Okay

Anauza viagra rifarodi

Does this guy have a church?

Ruaka drive ni ndefu msee,wapi haswa,after roundabout ya Runda water ,karibu exit ya githogoro,Cheleta police station…wapi haswa

Niaje Dr. @Luther12?

He’s not around…
A good opportunity for you to sin…

Adherent wa Owuor sema

No

Huyo msee simpendi,kila time akisema atakuja Nakuru his worshipper huosha barabara na maji iko na omo,then Nakuru inakuwa na jam siku mzima.
mimi ni mtu wa mutaratara

Why would a man of god require ballistic glass. Kwani damu ya yesu msalabani haitoshi?

Coordinates: -1.2204333750178509, 36.8174051200422

Am not dr. luther i came way later…Infact simjui hata…

Dr. Luther was good,saved my stomach one time.You got big shoes to fit in

He is coming to Menengai and Nakuru town on 31st December, 1st and 2nd January. Jipange vizuri.

Huwa anakuja around that time.ILe njia ya kwenda Kampi ya Moto hapo Showground haipitikagi.
Saa hii stage ya matatu iko hiyo side,sijui kutakuwa aje

Hii ya KFA? The trick ni upitie hapo ngware.

[ATTACH=full]401517[/ATTACH]

The mightiest prophets is consulting with Jehovah on how to heal covid-19