Mifupamifupa

Mafisi kaeni rada ukikutana na haka Kadem usikadharau ati kamekonda. Hii ni mbogi ya Clea na Minaj,moto ya kuotea mbali. Huyu unaweza kuwa unakamua na yeye sahizo ako busy anaita mwani.[ATTACH=full]103614[/ATTACH]
[ATTACH=full]103615[/ATTACH] Minaj hapo chini.dem aliye kula copper sunday[ATTACH=full]103616[/ATTACH]

1 Like

mbogi inakuanga nini?

alafu hawa madem si walimalizwa ama ni wengine

1 Like

Mbogi ni group, hawajaisha bado wako

1 Like

If one washes his eyes with ghosts, will they ever be clean? - Kayole Konfucius

15 Likes

Mbogi si carrier? Mule?

sheng hunilemea sana

1 Like

Miii naambia Mwanii angoje kwanza ni mwage ndaaaani ndio aniue

8 Likes

some villagers are generally slow.

Ananikalia yule manzi wa Kiambusbury

3 Likes

Huyo dem diye aliuliwa unless unasema huyo wa pili kwa picha ya mwisho ama may be unawarn mafisi wa uko alikoenda

[ATTACH=full]103620[/ATTACH]

1 Like

Mbogi tena najua ni Train. Sheng hubadilika depending on where you are.

2 Likes

Hahaha huyo atameza Mc Agari plus kiuno yako yote.

1 Like

exactly, ndo maana hunishinda

Mbogi hapana mule,ibamaanisha group.

fisked

Ni makeup ndio mingi hakuna urembo hapo

Huyo ako na tint ndio aliuliwa,huyu brown bado anaiba

Lakini Io body size Si mbaya… Ukishikilia ii kiuno baaaaas hauiwachili nikuiroll Kama chapti tu mpaka uyo mwani akuje :smiley:

5 Likes

Wahenga walisema hata maji machafu huzima moto. Haya si maji machafu. Hii ni matope.

3 Likes