Middle class keeping their cars at home as fuel price escalates - mambo mbaya

[MEDIA=twitter]1643141109655191553[/MEDIA]

Bad news kila mahali.

[MEDIA=twitter]1643138539951906816[/MEDIA]

Hasla!

considering kushika ka wish ama prius… budget balooning to karibu 18k a month on fuer… odinga akiingia kitandani na jambass sugu

Fuel prices sina sumbwa kila pahali

Sai naona parking za office zimejaaa…

By week 3 hua ni a completely different story.

Pipinya

Hasla tumezoea shoebaru hii ni chinda ya middle class wannabe.

Ile tear gas huyu mzee alikuwa amefinyilia ni ingine Kali ya mayai boiro, kachumbari ya firi firi ya jana, boiled maize na mukhombero. Mans alirelease hii mkutano ikaisha Sasa ana angalia ni Nani alihepa meeting amtume siberia

Kenya walisema hakuna middle class…just poor and the rich