Mid life crisis

Elders how do you cope with mid life crisis? Don’t feel like going to work, I feel am not progressing enough, I feel my peers are way much ahead, feel dejected just don’t know what to do. The other week nilikua ivo princy akanipea one week off nikaenda kutulia kanairo.

Mkubwa ameniita kwa ofisi leo ananiuliza shida nini

fanya kazi na jiangalie wewe peke yako wachana na watu wengine bana. kama you pay your billls, unapiga sherehe na bado unabaki na change bana uko tu sawa. si lazma gariii ama sijui kitu gani ya pesa mingi

List 20 of your friends and family. Make 2 columns. Weka the successful people on one side hao wengine on other. Hapo utaona you are better than most of them.
Alafu weka target ya personal goal moja pekee Iko na deadline. After deadline review hio goal. Kama hauja achieve target set another deadline. Usiongeze goal kama hauja maliza goal ya kwanza. Ukifanya vitu one at time utaona vile unajijenga polepole. Thank me later

you’re in the last stages of becoming gaaaaaaaaaaaaaaaaay

Shughulika na ya kwako

Kuna vitu you wish to achieve by a certain age,

:D:D:D:D:D:D:D

Kwani umefika 40?

Kumbe akili yako si lanye tu.

Amenishangaza leo

Too many sayings that i cunt finish today(iyo cunt nimeweka apo ju ya mtu mzima kama wewe kuji compare na sperms ulipatana nazo kwa dunia zikiwa grown ups)grow a pair of balls and live your life like its 1828

Too many sayings that i cunt finish today(iyo cunt nimeweka apo ju ya mtu mzima kama wewe kuji compare na sperms ulipatana nazo kwa dunia zikiwa grown ups)grow a pair of balls and live your life like its 1828

Watoto wako na wazazi wanasemaje? Wanakuona unaendelea poa ama vibaya?

nimeshtuka nikaconfirm username. I expected something like… ‘kamua mkia stress itaisha’

You are full of surprises Bana.

@administrator ebu angalia kama huyu ni ‘panua cheeks’ kweli. Kwani ulifanyiwa brain surgery? That is pure un-adultereted advice. Tumia till.

Teacher ndekwe, hio feeling pia Mimi ilininyorosha three months ago. Felt bored ma time ka zote. The solution is try to do something new, and set new goals to stay motivated.
Nilikuwa napigiwa simu na clients naiangalia tu. Na nilikuwa busy sana Kijiji ndio nichangamke

You are doing well my fren me back in the day nlikuliwa dem na boiz wangu wakaribu saana, this guy was doing well and I used to look upto him maze; Imagine wakanichapia pamoja…sijawai feel heavy ivo…My advice though tomorrow doesnt care about yesterday!

Toka ndani ya toxic city ingia kijiji where birds wakes you at 4am with natural songs.
Utaconnect na the real you instant.

Same feelings am having now. I was to start my own biz this year. Juu ya siasa I curtailed my plan. All my classmates are doing well in their biz. Mimi na mushahara ya peanuts . Wananicheka since most of them gross 200-300k. Hadi siku hizi I don’t feel like working for my boss.
Last week Saturday nimetembea kutafuta ofisi ya kufungua biz. It’s time I step out of my comfort zone. But I do have kale ka fear of venturing in uncharted waters.