Ticha Elgin amekaziwa salo ya sept. Leo nimeuza kascreen kangu. Landlord hatambui sossion aki.
Iza,start a side hustle that doesnt require you to be there physically inorder to bring in money as you teach…
safi Bro. Enyewe sasa nimechanuka. Nataka kulisha some two Dairy cows at home. Any ideas nitapokea.
Na bado…utauzauza tishaa
uliza transfer ukafunze ocha kwenyu
Na vile mlikua mnajichocha hapa. Ukifungiwa nyumba enda tu kwa Sossion, sidhani kama anaeza kataa kuku-accommodate.
We Shifu! Nina
We shifu! Nina shares mob kwa mwalimu sacco but sikuona haja ya kuwithdraw, Hio screen sijauza pesa mbaya sana. Nitareplace na poa kabisa.
Hey Jay jay…
Sitatrasfer ocha, nitachora mfanyikazi. Ma peroz are there.
Hey Jay jay…
Sitatrasfer ocha, nitachora mfanyikazi. Ma peroz are there.
Transfer I mean. Musiniitie akina @Gashhawk…oh Gashwin.
@Okiya…uko kwa hio fiasharakilimo? Nipe ma ideas kaka.
Sasa nimekuita unilipie nyumba fala hii?
Kesho Ntakupea contacts za talker fulani muongee akupee mawaidha. Ako in that sector na doing well.
Sikua na ubaya mwalimu, naelewa ni njaa inafanya uongee matope. Anika namba yako ya simu hapa tukufanyie harambee, usitolee watoto wa wenyewe hasira.
Nitashukuru sana bro.
Kumanina! Siwezi fikia hapo mkunduo!
Matusi yote hayo! Ila wewe mwalimu kweli ama wa ngumbaru!
Hehe.
sasa huyo jamaa wa harambee si ana madharau…Btw mbona nyinyi hufikiria walimu sio watu?
Haki serikal needs to pay these teachers. Hii hasira sio ya kujifanya. Imagine vile anabonga akiingia class!