Methali za siku zijazo (2090 and beyond)

Baada ya miaka kama Mia moja hivi, ni sisi ndi tutaitwa wahenga. Ni methali gani tunawachia watu wa siku za “usoni”?!
Mimi nawawachia hizi:
[ol]
[li]Mpenda Kuni hali nauli.[/li][li]Mwacha kuguru club ni mtumwa.[/li][li]Mtaka cha kunguru, shari ajipange.[/li][li]Cha Kunguru hu na akila ha…[/li][li]Kunguru hufwata pesa[/li][li]Haga na haga hujaza kitanda…[/li][li]Kawia uenjoy…[/li][li]Asiyekubali kushindwa si opposition leader[/li][li]Fimbo ya mbali haiuwi kunguru[/li][li]Mpenda YouTube hajaona TikTok[/li][li]Ukistaajabu ya Facebook hujaona ya Twitter[/li][/ol]
Ongeza tafathali, tukuze lugha yetu!! Forgive my swahili…:smiley:

[QUOTE=“Mike Litoris, post: 2838773, member: 67554”]
Baada ya miaka kama Mia moja hivi, ni sisi ndi tutaitwa wahenga. Ni methali gani tunawachia watu wa siku za “usoni”?!
Mimi nawawachia hizi:
[ol]
[li]Mpenda Kuni hali nauli. [/ol][/li][/QUOTE]
[ol]
[/ol]
:D:D:D:D:D:D wewe ni ghasia sana

hio number 4.

Kunguru na pochi…kitu moja!

Mchagua coomer si mtombaji
Mifupa huliwa na mbwa koko

Mwenda tezi na kunguru, marejeo septic tank
Mtoto wa kunguru ni kunguru
MGTOW hakwambii toka

[ul]
[li]Ukinidiliti mwanzako atanidanlodi[/li][li]Mwenye Kunyonga nyani, asorudi mtima, hufa maji pondaima na kubaki na dryspell.[/li][li]Mganga wa ukambani, hali kunguru kwa pesa![/li][li]Kazi ya mboro ni kutombana, kukojoa ni side hustle.[/li][li]Gotea watu, corona ni real[/li][li]Pambana na hali yako[/li][li]Maisha haitaki makasiriko[/li][li]Mwanaume hata awe bahili aje, awezi patia kunguru mimba nusu[/li][li]Utamu wa Sabina Joy ni shots[/li][li]Akishindwa Uwesmake, digi huweza nini?[/li][li]Cha tenants huliwa na landlord[/li][li]Hata uwe fala vipi, huwezi nyamba ukikatiana[/li][li]Mke wa mtu sumu, kunguru ya mtu mfupa[/li][li]Silaha ni rungu, pesa ni motivation tu[/li][li]Chuma ya doshi si unoma, noma ni kunyandua kunguru[/li][li]Chuma ya doshi bila pesa ni Kovu[/li][li]Ukipenda watoto wa shule, nunlia kunguru yako uniform[/li][li]Kunguru haoni kungure[/li][li]Kunguru akipata punyeto hulia panyaste[/li]
[/ul]

:D:D:D:D:D

Kunguru hafugiki hata ukipewa DFHKMBL