Messi Joins PSG on two year deal

Now My team PSG itakuwa untouchable. Imagine Neymar, Messi and Mbappe in one team, Duuh! Moto kama pasi

Wacha wewe. Kwani umehama Arsenool

Pale France mimi ni mtu wa PSG

Wakati mwengine mastaa wengi uharibu game.

Ongeza Ramos na Wijnaldum

Selfishness ndio huingia team work inakosa

na defense ikoje?

Defense Iko sawa. Ramos na Kimpembe ndio center backs.

Midfield ni Verrati, Paredes na Wijnaldun… Kali sana tena zaidi

Heehe, Kali sanaaa. Watatii

Man United tukikuja kwenu ni kichapo kama kawa.
sasa ni kuensure Old trafford hamfungi bao. (but najua itakua buisness as usual for Messi OT)

Ramos and Messi in the same team??

They are both PSG players now

FIFA 22 itakuwa tu PSG vs PSG :smiley: :smiley: :smiley:

umeacha wapi Hakimi

Barcelona will be shit sasa.

h

Hakuna upuzi ya away goals next season. Game itakua imefunguka. Hio upuzi ya kwenda kudefend ndo mpate away goal imeisha.

nmeona hio story.
at least sasa itakua kutafuta goals sanasana second leg.