MESSI AMEAGA MASHINDANO RASMI

Pamoja

hongera sana muheshimiwa nathubutu kusema comment yako ndio bora zaidi kwenye thread hii ukilinganisha na comment nyengine.
ni dhambi kubwa sana kusema ya kwamba argentina ameshatolewa kwenye fainali hizi wakati yeye na mpinzani wake mkubwa wametofautiana kwa point 2 na mechi ya mwisho ndio wanakutana.

[ol]
[li]Nigeria wana point 3 lakini goal difference wana 0 na mechi ya mwisho wanapambana na argentina[/li][li]Iceland wana point 1 lakini goal difference wana (-2) na mechi ya mwisho wanapambana na croatia [/li][li]Argentina wana pointi 1 lakini goal difference ni (-3)[/li][/ol]
[ul]
[li]kama nigeria atamfunga argentina basi atafikisha point 6[/li][li]kama argentina atamfunga nigeria atafikisha point 4[/li][li]na upande wa pili kama iceland atamfunga croatia basi atafikisha point 4[/li][/ul]
je Argentina hawana uwezo wa kumfunga Nigeria?
mbona jamani tunasahau mapema sana
http://www.goal.com/en/news/8/main/2017/10/11/39312562/ecuador-1-argentina-3-magical-messi-hat-trick-seals-world
[ATTACH=full]179216[/ATTACH]

Big up

So can barca play without Leo???..Au huoni kabisa anachokifanya Argentina…could they qualify for the world cup without him??..we jamaa cjui unafikiriaga nn…unaleta umadridiots hadi humu…

Barca inambeba Messi. Kama hutaki kuamini kikosi cha Barcelona ni full squad talent tupu sikulazimishi. Ndio maana tunamuona Mesi anasuasua akiwa nje ya pale.

Hujanijibu swali langu…unasema Messi anabebwa na barca…je Argentina wangequalify world cup bila uwepo wake???..Conclusivly…Messi ndiye anayeibeba Barcelona…Mwisho.

May be Argentina wangecheza vizuri bila Messi. Au ulikuwa na maana kwamba bila Messi wacheze watu 10 tu uwanjani?

Hivi Argentina wakiwa na messi wamewahi kuchukua kombe la Amerika ya Kusini?
Nalog off

Aisee…sema tu jibu moja “simkubali Messi” msilete konakona nyingi…

Aisee…sema tu jibu moja “simkubali Messi” msilete konakona nyingi…

Acha kulialia

Messi namkubali uwezo anao
Nalog off

Ww au mm…

Ungesema tangu mwanzo…

Kwani toka mwanzo kulikuwa na kipengele cha kusema kuwa unamkubali au humkubali messi?
Nalog off

Bora hata ulog off…

Akiba ya maneno ni muhimu sana

Argentina wamepata tabu sana

Mpaka kipenga cha mwisho wamepata tabu sana kama ulivyosema mwenyewe hapo juu!! Huku Mbereko nazo zikifanya kazi!

Ngoja akakutane na France atalijua jiji!! Au napo niweke akiba ya maneno?