After fleecing me dry this is what I’m getting from my bank: Mteja mpendwa, ni wakati wa kupumzika na kufurahia matunda ya kazi yako. Tunakutakia Labour Day njema na yenye fanaka.
Sijui I text bank niwambie wanitumie kakitu
achana nao tu waendelee kujiongelesha
Hehe. Received similar message too. We belong to the same bank. Vile niko msoto saa hii.
tubandilishane bank account. I bet yours is healthy yangu ikona kwashiakor, marasmus na ricket
nilifikiri wananiinvite for a treat kumbe
yangu ni worse boss.
Padre kumbe wee sio billionaire ama unakuaga “ktalk mbirionaire” ![]()
then lets combine into a joint account. umoja ni nguvu… harambee
![]()
hukumbuki kitu ulisoma kwa playsong inaitwa mabirigan mabirigan number 21…zero plus zero is zero…
Hapa naona itakua kichinjio ledger fees itakula pesa ya mtu
nakumbuka tu any number divided by zero is huge Hehehee infinity
@introvert hio TATA haraka upes!
@vuja de ameenda labour day na funguo.
Ng’ombe yeye.
Fiksed
Nyayo :D:D:D:D:D
mimi kazi yangu ni kutafuta kazi. Nitafurahia aje matunda ya kazi yangu kama bado sijapata kazi?
panda mbegu 310 kwa kanyari…
utapataje kazi while dinosaurs are not yet extinct…
sijatumiwa message na hao watu banaaaaa
Kwanza wewe ndio unatuma ukiwa at the back-end ya system. wacha kutubeba ufala