[MEDIA=facebook]100003566800089/posts/5555353041260201[/MEDIA]
nashukuru mungu nilizaliwa enzi za moi wakati watu walikuwa wanajiheshimu. Siku hizi watoto wanazaliwa bila father figure na ile mambo wanajionea ni mbaya saidi.
Heh sisemi kitu
if a man pulls such a stunt atakuwa Guantanamo bay
I just cant believe you said that …
- Moi of the “Nyayo Error” …???
- Moi of "Kanu Ni Baba Na Mama " …???
- Moi of the Nyayo House Torture Chambers … ???
wewe mtu ya kupost wamama wanono unajua nini kuhusu kujiheshimu