x-trail
December 24, 2016, 6:04pm
1
Wishing you all the best during this time we still need you next year so sherekeeni na kipimo don’t drink and drive na juala msisahau hata bangi tumieni ile mmezoea ukipata brand engine ni imbo washana nayo pombe mingi ya bure imulike na torch
2 Likes
4makind
December 24, 2016, 9:49pm
3
Merry Christmas. … Niko progressive
Salimia watu wote, waambie ni karush.
Wish i could be there
1 Like
x-trail
December 24, 2016, 10:24pm
5
[ATTACH=full]74715[/ATTACH]
Merry Xmas bro. Wish the best, next year call yourself Nissan Pino. Mimi nimetulia kwa nyumba watching MARLEY 2012 a documentary I have watched like elfu times. Merry Xmas to @Meria Mata, @Abba , @uwesmake , @introvert , @Jirani , @uwesmake , @Kasighau , @admin , @Deorro , @byro , @bjurmann , @wildfrank , @123tokambio , @xuma , @Bingi , @Colombo-Combolo … Aaagh! Mko wengi nimechoka! Big up to alla you brethren and sisthren.
Na my empress na prince and my lovely princess wamewagotea. Na wamesema Mazda Carol ni moto wa kuotea mbali. Umeskia hiyo introvert.
3 Likes
system
December 24, 2016, 11:56pm
7
jumabekavu:

Hehehe.
Nimesikia na nimetii.
Happy holidays to you and yours too na Talkers wote.
2 Likes
jumabekavu:
Merry Xmas bro. Wish the best, next year call yourself Nissan Pino. Mimi nimetulia kwa nyumba watching MARLEY 2012 a documentary I have watched like elfu times. Merry Xmas to @Meria Mata, @Abba , @uwesmake , @introvert , @Jirani , @uwesmake , @Kasighau , @admin , @Deorro , @byro , @bjurmann , @wildfrank , @123tokambio , @xuma , @Bingi , @Colombo-Combolo … Aaagh! Mko wengi nimechoka! Big up to alla you brethren and sisthren.
Na my empress na prince and my lovely princess wamewagotea. Na wamesema Mazda Carol ni moto wa kuotea mbali. Umeskia hiyo introvert.
BIG UP juma,
Wewe umeshikiria kijiji