@meria mata

After a long break nmeamua kuback. This time sina import juu amesema tunatravel kimoja from Nairofi… Hii si mniache niite shipping ama?
Anyway i wanted to know kama taru jam iko nilambie kanyau kwa akina @Nefertitie. Picha ya shipping nitatuma tukipatana.

Cc @Nostradumbass
Cc @jumabekavu

The stretch of road from Maungu to Samburu is unpredictable, one hour traffic is flowing smoothly and the next you are in a five hour muddle, word of advise to a bro.
[SIZE=2]buy a maasai shuka if you are travelling at night.[/SIZE]

1 Like

vile braza @Meria Mata amekwambia. Yote tisa, kumi nakuombea matombano mema yasiskuwa na ugonjwa mwaka huu, staki uwe dumu la petroli braza

2 Likes

oh btw @Meria Mata nilipona ule ugonjwa wa kizungu ulinilaza msa hospital. Mzee Ali Tutu alituma password ya mwili wangu ndio IV na hizo dawa za kizungu zikakubalika

2 Likes

@jumabekavu Kusema ukweli hapo nimefloat, sijapata vile unamaanisha, so tired today my mind is a bit slow

Ni vile yeye ni jumakumbafu

Hii inaitwa hand luggage

@bryo bado mi nko exile, we fika alaf utanshtua vile roadi iko… Naja hivo hii weekendi.

Safe journey broh

1 Like

Mambo na jam tena?

@byro Na hand luggage yake wako kwa hii
[ATTACH=full]26271[/ATTACH]

[QUthought =“byro, post: 291442, member: 1162”]After a long break nmeamua kuback. This time sina import juu amesema tunatravel kimoja from Nairofi… Hii si mniache niite shipping ama?
Anyway i wanted to know kama taru jam iko nilambie kanyau kwa akina @Nefertitie. Picha ya shipping nitatuma tukipatana.

Cc @Nostradumbass
Cc @jumabekavu
[/QUOTE]

I thought juzi umedai uko wife??? Enyewe peer pressure is a biach!!

carry on luggage

wakanyuma nitakuongeza gololi mbili kwa hayo makende yako, na hizo zangu mbili zitakuwa zatuma meseji kwa tuu. Achana na mimi. Bt for now i wish a blessed new year

4 Likes

Jumaa…Nashukuru kaka. Happy new year bro… Huu mwaka sitaki wachawi…
[SIZE=2]*shipment ansoma hii text[/SIZE]

Punguza kahawa tungu. :D:D:D

Nmepata space kwa mash cool… 1030hrs…will be arriving at 0800hrs God willing. Najaribu kumwelezea huku ukambani na dark na hayuko interested. Next time ataanza ooh huku ni mandera, hapa sipo.

Gololi, heheeeee, ubaya @ wakanyama hakijui hizo ni nini - nî nyee mûndû wakwa, kana waru.

1 Like