@Meria Mata

ati haramu yako ya sasa, ile import, na haramu ya zamani walipigana? Hebu elezea step by step vile kulienda mpaka ikafika pale? kwani ulienda ku-floss-ia ex?

3 Likes

tuko hapa na popcorns na pepsi, pia tunataka evidence kama transformer iko intact

popu tatu na pepseh hiyo tuko nayo. lakini mbisha ya fibre optics ya meria? hiyo utumiwe tu kwa inbox.
'sandeni sana

2 Likes

D.O 1 kuishi msituni inakumaliza

Hehe. Hekaya iwe published.

Link ya hio thread.

so, jana usiku mimi huyo nikapeleka import city mall kukula pizza, after kushiba tukienda home ndio tulipata X hapo kwa parking, alikua ameona gari ananigojea nimpe lift, alimwangalia import from top to bottom alafu akauliza huyu shaitan ni nani, wacha matusi ianze, inakaa wote walligraduate na flying colors from matusi school and a crowd formed hapo kuangalia, x aliambiwa hajui kuosha nunu akakasirika akarusha kofi na hapo ndio wakashikana, kufumba na kufumbua import akaweka x chini na nakumu unda vizuri, security guards then came and broke up the fight and carted the x away still screaming and breathing fire. na mimi nikaingiza import kwa gari nikapeleka nyumbani.
sina mbisha au video

10 Likes

Trully Atwoli are born n not bred mbisha ya transformer hatutaki hiyo tumiwa inbox kama MM ataoblige.

1 Like

naona umeanza kunifuata fuata, fuata rasa tu nina hakika hautakosa mharo

1 Like

And you just stood there watching them ? ungechukua video

2 Likes

@Meria Mata hapo haukudu poa. Yaani madem wananyoroshana na wewe unasaidia crowd ku watch. So kama sio hao guards, madem wangenyukana mpaka morning.

1 Like

Ati X aliambiwa hajui kuosha organ. Hehee. How ladies insult one another is hilarious.

Your wife must be smiling.

wangenyukana mpaka wapate akili…

so short ya kuma_yo ni ‘nunu’ siku hizi???..isorait!

:D:D:D:D afriend of mine alikuwa city mall and told me of this same story…noma:D

2 Likes