@Meria Mata

[ATTACH=full]160745[/ATTACH] weka hii container mzuri bwana

Iko empty…

Amefika past Voi on his way to Mombasa…

Kwani @shikoti hajui kutumia side mirrors and in between @Meria Mata trailer huwa na driving mirror?

This is very wrong, na ndio tukasema gari kubwa zipewe mature people sio watoi. He is supposed to park and wait for assistance before he kills somebody

Yes, tena kubwa sana yakuangalia import kwa kitanda

He he he! Hauamini turnboy wako?

Truck hazina turnboy, its just you and the occasional import or fare paying passenger

Sasa ukipata puncture pale Masienyi utafanyaje ?
@pseudonym hawes inua jack bana.

KUNA RD PATROL, doesnt take more than an hr

Why was the container not well fastened before aanze safari?

utoto,

inexperince, mulfunctioning locks itici itici, but the buck stops with the driver, he is the CEO of the truck. no wonder interviews with the big boys in the industry zimekua kali sana. saa hii wanauliza college certificate na uandike hekaya ndogo ya not less than 500 words how you got into trucks

Ati hekaya? :eek::D:D

:D:D:D waikitisha hekaya si wewe unawapa link ya hekaya yako hapa ktalk.

hekaya vith verifiable links, usiseme ulifanya kazi multiple, metro or buzeki na simu ikipigwa huko hawakujui. the rich play golf together

Lakini @jack anaeza inua @pseudonym :wink:

Yule Msomali mwenye Badar hardware aliuwawa na kontaina kama hiyo hapo Bonje! Akiwa kwenye Panjero yake yeye na wavulana wake wawili! Very sad!

Zii… Sidhani.
Umeona hiyo pseugwembe?
[ATTACH=full]160762[/ATTACH]

Ata kaa iko empty it weighs a lot

Kenya police wakiona hii wanatoa smile because pay day is here and they don’t have to hustle TukTuk operatorshttps://www.the-star.co.ke/sites/default/files/styles/new_full_content/public/articles/2012/12/08/616833.png?itok=ssMrIm_z