Kindly confirm that you’re safe…
wakali Kwanza are wrecking havoc huko
Why now?
Hao maboyz wanatesa raia vibaya huku. They killed a boda boda and mpesa guy and stole m brazas pikpik.
Hatari sana
Sasa Uhuru alitoa Marwa na alikuwa dawa yao huko.Wamalizane mimi Mombasa sina chochote
usiwe hivyo kaka.
If the.community want those thugs can be tamed.But sasa hamtaki mnajiangalilia tu.Fanyeni jambo
was wondering marwa aliendanga tu hivyo