hii sasa ndio ya kufanya nini?
[ATTACH=full]75470[/ATTACH]
hii sasa ndio ya kufanya nini?
[ATTACH=full]75470[/ATTACH]
:D:D:D:D:D hii ni gari ya CIA
ministry of roads vehicle used for roads inspection
Hapo mbele ni ya kubebea mamomo wa @uwesmake nde.
It’s a road mapping tool with GIS embedded into it. It captures contours, terrain and calculates road width. This was previously done by guys from KIHBT & Survey of Kenya.
Tunakagua bump zote Kenya mzima, hio chuma ikiguza Ata kidogo tunatoa hio bump,
Sio kutoa snow hapo area za Nyandarua na kwingineko?
Hii ikiwa parked hapo nje ya 1824 walahi watu watahepa mbaya.
:D:D:D:D:D
GPS RECEIVER MAYBE
[ATTACH=full]75502[/ATTACH]
Kana huyo hapo juu ali-highlight GIS (Geographical Information System) as if it was wrong.
Shots FIRED
what is the ground clearance of that shuma, otherwise for once NTSA wanafanya kitu ya maana.