Merciless Fisi..........Leteni Theories!

Kuna hii store nimeona Citizen saa moja.

Msupa mwingine ameibiwa mtoi na sijui mtoto wa director ya Mombasa Dishes, mwaraabu-mwaraabu hivi. Happened ni kama movy ni kama ndrama. Ati they were friends but not ferkmates. Wakati director’s son aliskia eti huyu msichana amepata mtoto akamtembelea nyumbani kwake Umoja, wakiwa nakasin yake.

They were driving.

When leaving, at the msichana’s gate, kasin akaitisha glass ya maji. Msichana kurudi kwa nyumba wale wawili wakatoweka na mtoi kwa gari.

Niko na theories kibao lakini ile nafikiria ni kweli ni kuwa huyo director’s son ndie father alafu he knows he had been set up for child support.

And what better way to kill the whole plot but to disappear with the evidence?

What’s your theori?

4 Likes

sasaaa…hii story guka juu unataka kutuvuta ndani, itasaidia mimiea yangu aje?

lakini…glass ya maji mbona? Watu wa gari si huwa wanakunywa ya chupa?

isokey…today was another day .

Wacha kwansa Mathaais akuwekee chupi hapa guka.

1 Like

Mtoto ni wa mama. They should know that. Helle Fiud

1 Like

He he, that will effectively run Guka’s post aground.

Hakuna posting iliharibu my appetite kaa hiyo. Niliipea Cup.

2 Likes

wewe niaje bro, tafadhali rudisha post ya guka mukaro ni wewe umeitoa…

Yaani hamna theori? Ndiyo mimi husema kila siku Wafrika ni kama panya tu - kula na kufirana. Kufikiria ni muhadhara…

(This thread was meant for you to come with great, incredible, ridiculous, funny theoris on why two jamaaz would off with a two-week old before the truth comes out. But as the first repraya says, itamuongezea nini? You see everything in 99.9% all African brains boils down to FOOD & SEX)

4 Likes

You need two tampons, one for your vagina and one to wipe your tears. Wacha throwing tantrums watu wasipocomment kwa thread.

Huyu msichana ameonyesha dalili za kutaka kutumia huyu mtoto kama njia ya kujitajirisha. Pengine anadai kuolewa otherwise mwanaume hatapata chance ya kuona mtoto. So the guy has taken the only leverage she has lakini ni ujinga juu sasa mwanamke amekua victim of male subjugation.

labda hao watu wa marindi ndishes hawakuwa na nyama ya thambutha ya kesho

7 Likes

this has triggered a memory…what happened to the case where human blood and an industrial mincer were said to have been found in a house in leafy nairobi?

2 Likes

@gashwin, we moved on to Eurobond. That’s right after the Ugandan suga issue. Which was just right after…you get the drift.

1 Like

maybe they were shooting a new season of Dexter

2 Likes

and now mama ngina and electricity poles…

1 Like

Because you don’t have an African brain, you neither take food nor sex?

yenyewe, Mr dinosaur has some ‘genuine’ concers. Something about this whole story is not adding up. If you listened to the story carefully, right at the end they sneaked a-ka-statement that the lady was with her husband at police station but dude was never featured in the whole scene na ka-toto kana kaa mwarabu mwarabu hivi.

1 Like

A healthy kid can fetch up to 500k kenya money. The price is higher if the said kid is an albion.

1 Like

Guka hii ni ushenzi kabisa. Wachana nayo

1 Like

albion ni lorry mzee uingereza…

3 Likes

BTW sijaielewa why men don’t just go to court and get joint custody or bribe the judge and get full custody.

1 Like