Mercedes

Which benz is this? who knows where i can find one to restore?
[ATTACH=full]147230[/ATTACH]

280SL, a Mrs Bukhala in Lavington owns one, her’s is still in mint condition, tafuta yeye akuuzie, sina contacts zake.

nice…

Having one in Candy red ir vintage grey could be pure class . I like it

And u expect someone from Lavington to sell such a vintage car?:D:D:D

Mayeks hebu ongea na huyo jirani wako, hata mimi naitaka

Vintage cars require a lot of patience and money to maintain. Kuna beshte yangu alibuy vintage muoto some time back. Sasa badala aanze kuunda engine mwanzo, alianza body works na kuipimp na cool rims. The guy used to live hapo Mada near Strathmore. Sasa siku moja akanishow twende out with his cool vintage ride na mimi juu sikataangi mwito wa pombe especially on a lazy Friday, nikasema sawa. Mimi kufika hapo kwake nje nikapata amesimama kando ya gari akiongea na fine ghels watatu wa Strath. After intoductions nikaambiwa ati wameamua twende langata kula nyama na kukunywa vileo kiasi. Sisi hao tukaingia kwa gari na jamaa akangurumisha gari. Hehehe my fren ile moshi ilitoka kwa hio bonnet karibu itumalise :D:D:D usitake ona vile fine ghels waliruka nje wakicurse yao yote. Jamaa kujaribu kuwaskizia ati ni vile alisahau kuweka gari maji, wadame hata hawakuangalia nyuma. Walitembea kama wameendaga. And that my friends is how my good friend Jemo cut short his relationship with vintage cars for life :smiley:

PS: Aliuza hio gari kama scrap metal na akanunulia maboyz pombe na nyama.

Hahaha…Hao fine ghels hawajawahi sikia shisha induction programme?

Very stupit story

I know a guy with one ya cream but hawezi uza. Hio ukimuona nayo weekend ujue lazima aue nyoka. Hata bibi hajawai ingia hio gari

:D:D:D
Shait.

:D:D:D:D

Hii kijiji itanimaliza one day.