Mercedes boy hapana tambua slay queen

Kunguru amepeleka upuzi wake kwa msee wa Mercedes amerushwa nje kwa barabara kama mbuzi.

9 Likes

Ni kama amekojoa kwa gari

10 Likes

Maybe alichukuliwa na Good Samaratina akeaenda Kuzibwa Mashimo yote na Mboo stiff Deek

wueh! she belongs to the streets, amerudishwa back to sender. :green_emoji:

7 Likes

Tumbler nayo imebaki mkononi intact. Huyu ni mlevi chakari…

image_2024-02-17_150255719

7 Likes

2 Likes

She should sue for assault.

1 Like

Nice move.

Hakuna kumumunya vya bwerere. She thought her skin color is all that she needed to live a sweet life. Alijua hajui.

1 Like

Gari si ya babake…anakwamilia ndani kwa nini? Akwende na kama hawezi toka ana bebwa juu juu…

1 Like

This Could Go Bad for that Fella… Kwani Hangeweza Kumtoa Gently…

He should have driven to central police to have the lady removed from the car, not assaulting her and throwing her on the road. Huyo kijana took his dads car kwenda umalaya and refused to pay the lady. A lady does not just miraculously appear in the back seat of someones car with a tumbler ya gilbeys. Ile kesi itakuwa hapa itakua kubwa.

3 Likes

Hio gari KCV 774K has already been impounded to help with investigations ya attempted murder.

2 Likes

Zi wewe Wacha kuonea huyo mwanamke huruma, una dhania mwanamke huwa ana mhurumia mwanaume akichoka na yeye.

Na by the way labda Ali fanya a broke guy madharau na akamsho yeye hana pesa, she only dates rich men.

Alafu why involve the police, she’s not committed a crime,mambo ya wawili hayo. He did the right thing. Fukuza kama haikusaidii…

3 Likes

…Sasa huo ni unafiki, gari ni yake na kama hamtaki hamtaki.

Why do you stand with the whore instead of kujua what it has done to the boy ? Labda amenyamba omenA kwa gari ya wenyewe ama kukatalia hapo na Jamaa ameoa na ni loyal plantation worker kama @Yuletapeli

4 Likes

Banae…she wanted to pass the message to the wife that she exists. Women can be stupid sometimes.

Unapata amekatalia kwa kiti “sitoki, na sitoki”.

Her next move entails looking for the wife’s number, calling her, and asking her “bwana yetu anaendelea aje?”

The wife will get mad, pack her belongings and go back to her parents, then the whore will try her best to win the husband. The whore will ask the husband "nini akonayo sina? and offer sex, the stressed husband will fall for this, then after three weeks she will call the husband to surprise him “We are pregnant”. First wife ametoka and the whore amekalia kiti ya bibi.

Malaya hajui mali imetoka wapi yeye amekuja kuvuna mahali hakulimia.

2 Likes

The day I willl buy my Volvo hakuna kunguru atawai ingia ndani

2 Likes

Many before you said so but hii dunia mambo ni ngumu sana

1 Like