Men

Kuna madharau fulani mwoman atakuwa nayo kama ndiye mwenye nyumba. It will make you feel inferior as a man.

1 Like

Utashinda ukinyesha sasa? Siuzime basi.

Kuna beshte yangu, ali loose job. Alikua ana stay karibu na kwa dame yake. Hiyo time alisota karibu arudi ocha. Akaanza kukaa na dame yake. Mseh aligeuzwa mboch hiyo hao. Aoshe vyombo, apike, a mop hao,arushiwe viji mambo left,right, centre, name them all. Just because hakuwa na job na dame alikua ana provide hiyo time waki stay kwa crib ya quail.

Kwa ufupi, ku ishi kwa dame ni ziiiiii

1 Like

Ata madem hufanyiwa hivyo

Either way, sio poa. Ni vile watu wamezoea ladies kufanya hizo house chores. Watu nikusaidiana bana…You never know about tomorrow.

@Lola anika huyo jamaa amehamia kwako umuoe!

ni story refu but hajamove in kwangu

The chic will be sausage fungaing n there is nothing the man can do. Her rules

Yep. Hurricane Sandy is definitely on its way

Kwani wewe fala sambuli gani unanunua carpet na si wewe uliiba ama kuiuza?

Unamaanisha nini?