Men versus women Clothes

I don’t know about you but i don’t know if it happens to other men,I rearly buy new clothes.I can literally wear the same clothes for years lakini on the other hand nguo za mamaa zina weza jaa kwa magunia na Bado ata sema hana nguo!! one of my main problem ni ku bargain,I hate that shit!I rather just get into an established shop with price tags

Ok

Sawasawa

supermarkets sell clothes …try huko

men’s clothes are expensive… it is also rare to find a man dedicate a specific day to go look for clothes… wamathe could be walking in town anaokota top ya 200 bob kwa street. mwanaume utanunua nini ya 200 ya kuvaa kama sio socks

Wanasemanga hawana nguo na wamezijaza, nyingi huwa takataka until zivaliwe ati ni design sasa unapata haziingiani sika sisi majamaa unaeza vaa t-shirt na trouser yeyote na viatu type any bore sio gamboot :D:D

hata socks unajipata umeshika pair kadha but after one month unaanza kuvaa linganisha, moja ya grey ingine ya black, moja ndefu ingine fupi. Mahali huwa zinapotelea ndio sijawahi jua

Urongo!!! Kanye made gamboots a fashion statement

I’m like this also

Women love shopping,bargaining na wanajua shimo zote kuliko hizi generic clothes za supermarkets so ukimarry they’ll come in handy.

@PHARMACY na @LeVoyeur husumbua @Agwambo awanunulie dress everytime wanaenda out

Hujajipata ukienda kutafuta trouser ya white ju umealikwa sherehe iko na dress code.

:D:D:D Si nilisoma hapa Kanye ametupa mbao

I have a phobia for clothes and shoes shopping. I often end up regretting what I buy when I get home. either too bog, too small, wrong color, wrong design etc. So, I also stay with same clothes and shoes for years, unless mama anihurumie aninunulie…

:smiley: same banae there will always be something to regret about the new trousers.but nime notice men don’t try things when shopping,unlike women,wata vaa hio top waone kama its fitting lakini ninja zina pima na macho then end up regretting.

Tutengeneze tracker za socks walahi. This is a mystery. Ama ni madem/wamama wanazibeba?

:D:D nilikuwa na pair SITA Sahi ni na Moja. Kuna time nmefika kwa Hawa Wana dada wa shoe shining tao, nmeketi alafu akaiinua trouser pande ya chini ang’arishe viatu…hehe,ma socks zangu linganisha zilionekana na wapita njia :smiley:

Unabuy pair kumi zinafanana za black. Problem solved :smiley:

Pia mimi hufanya hivyo, hata zikipotea sijuangi shida najipata zimepungua zilikuwa pair Sita saa hii ni tatu

Hii inenimalizia shida sasa

Hapa umeniokolea. Kumbe you can relate.