Men hii mateso na madharau huwa ni ya nini?

Mums most of you say don’t leave a man due to cheating. But think of my situation. He’s cheating and that has made him very violent and disrespectful. I found a CD in his pocket imgn kumwuliza he beat me up eti who told me to check his pocket. Nikakanyagia hio story. Anatoka kwa nyumba Monday atarudi kama Fri saying curfew hua inampata job haezifika home though atakua anatuma doh ya food bado. He will leave the house even at 10pm to make calls outside and try asking why he’s doing that uone vile utapigwa. Akiwa kwa nyumba he’s busy on his phone, akikuona na yako anakuja anaichukua anaieka then anaendelea na Ku chat na yake. He chats even akiwa bed. He might even decide achukue phone yangu, a switch of TV na aanze kuchat. Yaani he determines what you do. All this started venye alianza Ku cheat b4 then he was a very good man. What am saying is his cheating has changed him, do you still advice that even in such a situation mtu asitoke ju cheating is everywhere? 1 year in marriage no kid yet

Si aende hizo sleep overs akirudi apate empty house,kwani iko nini? Atleast utampa enaf time kufanya kile anataka,hata line replace. At times we give men more powers than they deserve,kindly learn to live without fear

And u call him a husband haki wanawake mnaniangushanga…kanyaga kubwa kubwa ama ungoje ukimwi na corona uletewe hapo

Grind glass zikue fine powder mwekee kwa food kill that motherfucker before he kills you mum hawa watu aki mimi hiyo mkono ningegonga na rolling pin ya chapo anachukua simu ya naniii…

Wangu napata kwa gari,side chick wanaekwa profile pic…alialika mwingine kwa hao akanidanganya n beshte wa cuz ake…nkapika chai wakatoka eti anampeleka…mums guess wot jamaa alirudi top ya white n lipstick ya ule poko tupu…utafanya nn n I v 2kids…nitaenda wapi

Kwanza uko na chance mzuri saana… Make sure umebeba kila kitu kwa iyo nyumba na uondoke… Arudi apate nyumba empty… Sipendi ujinga takataka

Sasa dadangu if he is doing that na hauna mtoto na ukizaa??Kwan umefungwa na kamba.mwambie Kila mtu aiishi maisha yake.hautamuliza ametoka wapi ama anachat na Nani bt asichukue simu yako.kila nyani na starehe zake.na uanze kutafuta backup.aii nawe

A man without honour is just a child with a beard–he doesn’t deserve a wife. Nuff said.

other issues aside,that man is trying to say something,that’s not how people play their wives.

That man is really trying to kick you out. Ni vile anataka ujiambie.

you have nothing to loose just one year unless umekwama hapo na madawa…thats being so insecure…signs are on the wall epuka ugonjwa hasa corona for now dada yetu

just ask yourself utahama lini…kant waiit ningeenda jana ama juuuzi